katika pita pita zangu maeneo ya katikati ya Mji wa Morogoro, nilikutana na hii kitu katika moja ya mitaa na nikaona si haba nikija waonyesha nanyi wadau wangu.hii imekaa???
BANGO LINASEMA WEKA TAKA HAPA, HAKUNA TABU WANACHI WAMEITIKIA WITO
ReplyDelete