katibu wa (UWT)chama cha mapinduzi ccm wilaya ya mbeya mjini ndugu Saphia Almasi akizungumza jambo katika mkutano wa kuwatafuta madiwani viti maalum tarafa ya iyunga na sisimba kwa kuwapigia kura za maoni katika ukumbi wa shule ya mbeya sekondari jijini mbeya ambapo wagombea udiwani katika tarafa ya Iyunga walio chaguliwa ni wagombea saba (7) kati ya wagombea kumi na nane (18), Mary Malema, Mangasila, Christina Gwimile, Amina Chaula, Mwajuma Tindwa, Rose Mahinya na Neema Mwasampeta wamepata ridhaa ya kuchaguliwa na wajumbe wa chama cha mapinduzi ccm mbeya mjini..na wagombea udiwani viti maalum walio chaguliwa katika tarafa ya sisimba ni wagombea watano (5) Kati ya wagombea kumi na mbili (12) Agata Ngole, Suzana Simkoko, Saphia Almasi, Elizabeth na Habiba mwakitabu..Picha zote na Fadhiri Atick Mbeya.
Mgombea ubunge viti maalum mkowa wa mbeya ndugu,.Tusubilege Benjamin akiwasalimu wajumbe wa ccm jijini mbeya walio hudhuria kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa shule ya mbeya sekondari..
baadhi ya wajumbe wa ccm mbeya mjini wakiselebuka katika kikao hicho kilichofanyika tar:22-07-2015 katika ukumbi wa shule ya mbeya sekondali
kutoka shoto ni katibu wa chama cha mapinduzi ccm wilaya ya mbeya mjini ndugu saphia Almasi na kaimu mwenyekiti chama cha mapinduzi Frola Ambakisye Jongo wakifurahia jambo..
No comments:
Post a Comment