Sehemu ya Wafuasi wa Mmoja wa Wagombea Urais ambao hawakuingiakatika hatua ya tano bora ya ya kuwania nafasi hiyo kupitia CCM, wakiimba kwa pamoja wimbo wa kuwa na imani na Mgombea wao, nje ya Makao Makuu ya Chama hicho, Mjini Dodoma mchana huu. Pamoja na kwamba Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa unaendelea kwenye Ukumbi wa White House, huku nje hali iko namna hii na ulinzi umekuwa ni mkali sana katika eneo lote la Makao Makuu ya CCM.
Askari Polisi wakiendelea na doria nje ya eneo la Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma leo hii.
Askari Polisi akimzuia Mbwa wake asimzuru mmoja wa vijana waliopo nje ya Makao Makuu ya CCM.


Polisi kila kona.


Baadhi ya Wafuasi wa Mgombea huyo wakiwa wamepanda juu ya Uzio wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.

kaniuma sana lowasa mm
ReplyDelete