Kamera ya mtaa kwa mtaa blog iliinasa taswira hii ya kibaka alie bainika na mdau mwenye tisheti nyeusi pichani kutiwa kibindo huku wakielekea kunako husika bila kubiga kelele yani kimyaa kimyaa kama waonekanavyo hapo imezoeleka pindi kibaka anapo bainika hupigwa ngoro ya mwiziii..
kimyaa kimyaa utataja tuu>>>>
No comments:
Post a Comment