HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 21, 2015

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA MBALIMBALI MJINI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA...

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilipokuwa ikiangazia angazia katika mji mdogo sumbawanga mkoani rukwa na kukuletea baadhi ya mionekano mbalimbali ya mji wa sumbawanga kama jinsi ambavyo kipita shoto katika taswira hapo juu kinacho tambulisha mji wa sumbawanga...Picha zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo wa Mtaa Kwa Mtaa blog.
muonekano wa mkeka kutokea stendi kuu sumbawanga mjini...
upande wa pili wa mkeka kutokea stendi kuu sumbawanga mjini...
lango kuu la kuingilia mabasi stendi kuu sumbawanga mjini..
kikwangua anga kilichopo kando kando ya stendi kuu sumbawanga mjini..
Chinga akiweka mambo sawa hapoo...
Fundi viatu nae akiwa katika kilinge chake akipanga panga baadhi ya viatu...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad