Kamera ya mtaa kwa mtaa ilizinasa baadhi yataswira za magari yaliyo pata ajari barabara ya kutoka dar es salaam kwenda mbeya kutokana na vyanzo tofauti tofauti ambavyo havikuweza fahamika, mchuma huo katika taswira ulio piga mweleka eneo la changarawe mafinga na michuma mingine katika maeneo tofauti tofauti barabara ya mbeya Dar..Picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mtaa Kwa Mtaa blog.
Roli hili lilipiga mweleka eneo la changarawe mafinga...
masalia ya vyuma vya roli lililo ungua..
Gari hii yenye nambari za usajiri (T 713 BLN) ikiwa nyang'anyan'a upande wa mbele..
Roli lingine likiwa chini mara baada ya kupiga mweleka..
Magari haya nayo yalikutwa yakiwa yameteketea kwa moto, vyanzo vikuu vya ajari hizi hazikuweza fahamika..











No comments:
Post a Comment