HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 13, 2015

KAMBI NI POPOTE...

Katika misele ya hapa na pale ya libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa blog ilijionea baadhi ya staili za maisha katika nyanja tofauti tofauti mkoani Iringa kwa ndugu na jamaa wenzetu wanao ishi katika baadhi ya maeneo mkoani Iringa wakiwa katika pilika pilika za hapa na pale kwa lengo la chochote kiingie kinywani kama hawa ndugu pichani waliopo eneo la kitonga mkoani iringa wanao jishughulisha na shughuli za kuuza mahindi ya kuchoma kwa vyombo vya usafili vinavyo kuwa vikipita eneo hilo...
wauza mahindi kitonga
mjengo wa udongozz
bustani kavu likiwa limeshamiri kwenye mjengo huo...
mjengo wa udongozz ukimeremetazz..
kwa mbalii unabaini jambo hapo..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad