HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 8, 2015

HUKU KWETU NI KUJIACHIAA TUTAKAVYOO...

Kamera ya mtaa kwa mtaa mapema ilimnasa dada mmoja jina lake kapuni akiwa amekaa juu ya karo la vyombo huku akiosha vyombo bila wasi wasi wala woga maeneo ya changanyikeni hukuu yani ni fulluu kujiachiaa tunafanya tunacho jiskia...Picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
Hapo mwana dada mrembo akiendelea na uoshaji wa vyombo juu ya karo hiloo...
Shughuli ikiendelea huku bi shostii mwingine akichatii na smart phone yakeee..
Kijiaibuu mara baada ya kuiona kamera ya mtaa kwa mtaa ikimsabahii..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad