HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 13, 2015

HUDUMA FASTA ZA IRINGA...

Iringa mji ni mdogo sana na kutokana na mji wa iringa kuwa mdogo yaani Iringa mjini kuwa padogo basi hadha ya vyumba vya biashara huwa ni hafifu sana katika mji huo kutokana na watu wengi kutaka maeneo mbali mbali ya kufanyia biashara zao, kutoka hapo juu katika taswira ni huduma fasta za mjini iringa kutokana na uhaba wa vyumba vya biashara wengine ufungua ofisi zao nje ya nyumba zao au kukodi vibaraza kwa kufungua ofisi za fasta fasta kama hiziii baada ya kuhudumiwaa unaangalia ustaharabu wako..
baada ya kupatiwa huduma hakuna muda wa kupiga zoga hapo ni mwendo wa kazi kazi tuu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad