Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015
Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa waandamizi jeshini na serikalini wakiwa wamesimama wakati viongozi wakiingia bungeni
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge
Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni
Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge
Rais Kikwete akiingia bungeni
Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao
Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia
Waheshimiwa wabunge
Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge
Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge
Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge
Rais Kikwete akihutubia
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete
Sehemu ya wabunge
Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba
Sehemu ya wabunge
Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali
Sehemu ya Mabalozi
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wabunge wakifuatilia hotuba
Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete
Jaji Mkuu na ujumbe wake
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
No comments:
Post a Comment