Kijana msamalia akiwa amemshika mtoto mmoja (jina lake lime hifadhiwa) eneo la uyole ya kati kumpeleka nyumbani kwa wazazi wake mara baada ya kuingiza mguu kwenye spoko ya baiskeli waliyo kuwa wamepakizana yeye na kaka yake nakujikuta akitokwa na damu nyingi kwenye dole gumbaa...picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mtaa kwa mtaa Mbeya..
Kutoka kulia ni kaka wa majeruhi aliye kuwa amempakia mdogo wake kwenye kipando hicho wakiongozana na msamalia alie mbeba majeruhi huyo kumpatia hudama....
safari ikiendelea kuelekea nyumbani kwa watoto hao...
hapa majeruhi akijicheki kidogo kidonda chake jinsi kinavyo meremetazz
No comments:
Post a Comment