HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 1, 2015

BWANA MOOO AKITAFUTA KIJIMWILI UWANJANI KWA KULA NYASI ZILIZO KAUKA KWA KUPIGWA NA JUA.....

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilimnasa ng'ombe huyu alie konda kwa kutopata matunzo boraa akijikongoja kwa kujitafutia afya mdogo mdogo kusudi angeze kilo za nyama kidogo mwilini.....
bwana mmoo akisotea nyasi ngumu na kavu zilizo kauka kwa jua...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad