Picha ya baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufutari katika ukumbi wa hoteli Serena, futari iliyoandaliwa na Bima ya Resolution.
Baadhi wa waumini wa dini ya kiislam wakimsikiliza mgeni rasmi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Bima ya Resolution, Oscar Osir, akiwatambulisha wageni waliaalikwa wa dini ya kiislam waliojumuika na Bima ya Resolution katika futari iliyoandaliwa na Bima ya Resolution katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ya Resolution,Zuhura Muro akiwashukuru waumini wa dini ya kislam kwa kujumuika pamoja na Bima ya Resolution katika kufutari iliyo andaliwa na Bima ya Resolution katika hoteli ya serena jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment