HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 15, 2015

BIASHARA NI MAELEWANO..

Mfanya biashara ya kuuza nyanya na pilipili hoho akiwa anazungumza na nteja wake alie paki gari lake kufanya makubaliano kuajili ya kupata mahitaji ya nyanya hizo zinazo uzwa hapo sambamba na pilipli hoho kama vionekanavyo katika kioo hapoo..
Mfanya biashara huyo hapo alionekana kushika kichwa kwa ishara ya mteja wake alihitaji kupunguziwa zaidii ya yeye alivyo tajaa..
Baada ya maridhiano na makubaliano muuzaji alionekana kulidhia kile alicho kitaja mteja wake na hatimae kumuhudumia...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad