Baadhi ya wananchi waliohudhuria kwenye banda la chama cha wanasheria wanawake (TAWLA) kwenye maonesho ya kimataifa sabasaba.
Mkurugenzi wa Programu wa TAWLA, Naseku Kisambu akitoa maelezo kwa watu
waliohudhuria banda lao kwenye maonesho ya sabasaba jinsi gani Tawla
inavyosaidia kisheria.
Afisa habari wa TAWLA Goodness Mrema akitoa maelezo kwa wananchi waliohudhuria bandani kwao.
Mkurugenzi mtendaji wa TAWLA,Tike Mwambipile akihojiwa na mwandishi wa Tbc kwenye maonesho ya kimataifa sabasaba.
No comments:
Post a Comment