Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Thami Mseleku akifanya usafi katika Wodi
(A) ya Watoto iliyopo katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI),ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela.
Muunganishi wa Makazi katika Umoja wa Mataifa,Alvaro Rodriguez (wa
kwanza kutoka kushoto),Balozi wa Afrika Kusini nchini,Thami Mseleku (wa pili)
wakiwa na baadhi ya wawakilishi wakipokea misaada kwa niaba ya walezi wengine.

No comments:
Post a Comment