HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 3, 2015

WEUSIIII.......KITAANI NA STORY MBILI ZA TATU ZA MKWANJA...

Katika matembezi ya hapa na pale nili bahatika kukutana na hawa jamaa wanao jishughulisha na shughuli za kubeba ndwika kwenye mtaa mmoja korofi eneo la igogwe mbeya kama waonekanavyo katika taswira wakiwa sambamba na mavazi yao ya kazi...picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa wakidhadhiana jambo kuhusu ule mkwanja walio toka kuukarabati huko walipo toka.
hapa wakiagana mara baada ya maridhiano.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad