mmoja kati ya makamanda mahiri wa kusambaza nyama jijini mbeya akiwa katika hatua ya kuweka baadhi ya vichwa vya ng'ombe kwenye kipandwa cha mdau wao.
Kamera ya mtaa kwa mtaa kama kawaida kitaa kimoja baada ya kingine katika kuangaza angaza kitaani hapo ikakutana na wataaramu wa kusambaza nyama jijini mbeya wakiwa katika kitaa cha ilemi mbeya.



No comments:
Post a Comment