Wataaramu wa kutoa burudani ya nyimbo mbalimbali za asili wakiwa wanatoa moja ya burudani kwenye mtaa wetu huku wakina mama na wakina baba sambamba na watoto wakisongeka kwa kwenda mbele sambamba na mirindimo ya zeze linalobikwa na watoa burudani...
hapo sasa weeee...
No comments:
Post a Comment