Kutafuta
liziki ni kwa kila mtu ila tofauti ni kwa namna gani jamaa kama
alivyokutwa na kamera yetu leo katika eneo la Kinondoni B jijini dar es
salaam.
Mjasiliamali
akimuuzia mteja wake mara baada ya kuegesha gari lake pembeni kama
alivyonaswa na kamera yetu leo katika eneo la kariakoo jijini Dar es
Salaam leo. (PICHA NA EMMENUEL MASSAKA,MTAA KWA MTAA)
No comments:
Post a Comment