Katika pita pita za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, mchana huu ilikatiza maeneo ya Kinondoni Morocco na kukutana na taswira ya Watoto hawa wanaoishi katika Mazingira Magumu wakipitia mkwanja waliopewa na mmoja wa wasamalia aliepita eneo hilo.
Wednesday, June 10, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment