
mizigo ikifungashwa...
mikokoteni ikipishana...
zigo ndani ya kiwekwa...
pilika pilika...
mizigo ikiendelea kufungashwa hapo mitaa ya jua kali...
baadhi ya mizigo ya kwenda kupigwa mnada...
kidume kikisukuma mkokoteni...
mizugo ikiendelea kuja kutoka sehemu mbali mbali...
Mikokoteni ikichukuwa nafasi yake eneo la jua kali jijini mbeya..
No comments:
Post a Comment