Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika pita pita zake, ilibahatika kuzinasa taswira hizi za mdau huyu na abiria wake wakikata mitaa katika makutano ya Mataa ya Mwenge jijini Dar es salaam, huku akiendesha mchuma huo kama linavyoendeshwa gari kwani aliushika usukani kwa ustadi mkubwa.
Hapa akiendelea na safari yake huku akitafuna namna ya kuchepuka.
Breki zikashikwa....
kachepukaaaaa.... yuleeeeeee
No comments:
Post a Comment