Kamera ya mtaa kwa mtaa kama kawaida yake ya kutopitwa na jambo mapema leo kwa utulivu kabisa ilipata kushuhudia jinsi ambavyo kiro mia moja arobaini(140) zikiwekwa kwenye kichwa cha mdau mmoja eneo la mwanjerwa ikiwa ni kama kawaida ya vijana wa eneo hilo kubeba mizigo ya aina hiyoo...picha na mtaa kwa mtaa blog.
mdau akiendelea kuwekwa viloba vya sukali kicwani.
hapa kiloba cha mwisho kikipokelewa na mdau huyo kwa heshima na taazima.

hapa kazi mwendo mdundo hesabu viloba hivyo kwenye kichwa cha jamaa hapo.
No comments:
Post a Comment