HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 23, 2015

MDAU AKIJITIBU KWA TIBA YA AINA YAKE KITAANI....

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilinasua taswira za mdau mmoja majina yake kapuni akijipatia tiba yake ya aina yake kwenye moja ya mtaa hapa hapa nchini tanzania, kiukweli kwa staili hii tutafika tukiwa tumechoka sana kwani vitu atumiavyo hapo mdau huyu ni kitu cha kiroba kikubwa na sigara....vyote kwa pamoja akivitumia kwa utulivu kwenye benchi la ufundi...
hapo sasa kitu cha sigara kikivutwa kwa hisia....
hana papala mdau huyu nitaratibu taratibu tuu mpaka tamati..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad