
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima ya mwisho kwenye Jeneza lenye Mwili wa aliyekua Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugene Mwaiposa aliyefariki Ghafla nyumbani kwake Dodoma juzi, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo Juni 06, 2015 nyumbani kwake Ukonga Dar es salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu kufuatia kifo cha Mbunge wa Ukonga
Marehemu Eugene Maiposa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Juni
06, 2015 nyumbani kwake Ukonga Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekua Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugene Mwaiposa wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Ukonga Dar es salaam leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia ya Mbunge wa Ukonga Marehemu Eugene Mwaiposa baada ya mazishi yake yaliyofanyika nyumbani kwake Ukonga Dar es salaam leo Juni 06, 2015. (Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment