Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Balozi wa Italy Nchini Tanzania, Luigi Scotto, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 25, 2015
kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Italy nchini Tanzania, Luigi Scotto, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 25, 2015
kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Ballozi wa Italy nchini
Tanzania, Luigi Scotto (wa pili kushoto), baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni
25, 2015. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Marekani, Balozi
Joseph Sokoine (kulia) ni Msaidizi wa Balozi wa Italy, Michelangela
Adamo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment