HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 25, 2015

MADOGO WAKIWA NA MBWA WAO KATIKA DORIA NDOGO MITAA YA CHANGANYIKENI....

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilikutana na timu nzima ya kikosi cha madogo janja wakiwa sambamba na wakina snopi dog dog katika doria ya mtaa mmoja baada ya mwingine kufanya uchunguzi wa jambo ambalo lili kuwa ni lao binafsi na hawakutaka mtu yeyote ajue juu ya doria hiyo iliyo kuwa ikiendelea mitaa tofauti tofauti....Picha na Mtaa kwa Mtaa blog.
Doria ikiendelea....
Lazima apatikane au kipatikane hapo...
Wakina snopi dog gog wakielekeza njia tuuu..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad