Gari likiwa limebeba takataka katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.
Mabanda ya maonyesho ya sabasaba yakiendelea kufanyiwa kukarabati
kwaajili ya maonyesho yatakayoanza Juni 28 mwaka huu jijini Dar es
Salaam.
Wazee wa kilimo kwanza wakiwa katika maandalizi ya maonyesho ya sabasaba.
Wanawake nao katika harakati za kuweka mazingira ya kupendeza katika mabanda ya maonyesho ya sabasaba leo jijini Dar es Salaam.
Mafundi wakitoa mizigo kwaajili maonyesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.
Mwonekano wa nje katika viwanja vya sabasaba ambapo maonyesho hayo yatafanyika katika viwanja hivyo.PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.
No comments:
Post a Comment