
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akipiga kura ya ndio wakati bunge lilipokuwa likipitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Diana Chilolo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa
akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa
kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni
mjini Dodoma leo. Kulia ni Mbunge wa Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Diana
Chilolo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mh. Mussa Azan Zungu wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma leo.



No comments:
Post a Comment