Saturday, June 27, 2015

KAZI NA DAWA....

Kijana akipata chai kwenye moja ya kilinge chake kinacho jihusisha na uuzaji wa kuni kitaa cha nani hii pale kama ilivyo zoeleka na wengi kusema kuwa mwili haujengwi kwa matofari bali ni kwa chakula...
kazi na dawaa..

No comments:

Post a Comment