HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 23, 2015

HUU NDIO UNUNDA WA BODABADO KITAANI..

Kila boda boda huwa anatabia yake pendwa na anayo kuwanayo bega kwa bega bilakuificha tabia zao pindi wanapo kuwa katika mitaa kama huyu boda boda hapo katika taswira akiwa amepaki pikipiki yake katikati ya njia na kugoma kumpisha mwenzie wa mkokoteni na kumtaka apite pembeni kwa kujibana bana kama aonekanavyo hapo juu....
ona hapo kama pake vileee....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad