Hawa mbuzi wa mjini wana tabu kubwa sana katika utafutaji wa chakula chao pindi wanapo kuwa katika heka heka za kutafuta chakula chao kwenye mitaa mbali mbali kama aonekanavyo mbuzi huyo katika taswira hapo juu akiokota okota baadhi ya masalia kwenye moja ya mtaro tulivu hapoo....
mbuzi huyo akiendelea kujimwayamwaya kwa kuokota okota vinono mtaroni hapo...
mbuzi mwengine akisasambua sasambua baadhi ya vinono kwenye takataka zilizowekwa hapo kama aonekanavyo hapo katika taswira..
Mbuzi wa mjini ni nouma sana aiseee...
No comments:
Post a Comment