HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 20, 2015

HATIMAYE VIJANA WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUTOKA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM WAVUKA SALAMA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

 Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar.
 Safari yao ikiwa imeanza na hapa mmoja wa vijana hao wakiwa safarini na hapa akonesha umahili wa utaalam wa kuchezea Baiskeri Maeneo ya Chimala
 Tarehe 17.06.2015 wanawasili Iringa na kulala Hapo kisha asubuhi wanaonana na uongozi wa Polisi Mkoani Iringa
 vijana hawa watatu wakiwa Iringa sasa wanahimiza watu kujiandikisha katika Daftari la kudumu la kupigia Kura, na hapa wanadhihirisha kuwa wao wanavyo tayari, je wewe umeijiandikisha?

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad