Mtaa kwa mtaa blog ilitembelea moja ya msikiti jijini mbeya katika msikiti wa Mafiati jijini humo na kuona jinsi ambavyo mambo ya kuandaa ftarii ya viazi Utamu ikiendelea na jopo la waumini wa dini ya kiislamu katika kipindi hiki cha mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani katika kutimiza nguzo ya nne ya Uislamu.
Viazi Utamu vikiendelea kumenywa hapo...
Mambo yakiendelea katika msikiti wa mafiati jijini mbeya..
No comments:
Post a Comment