Dogo akikarabati mwamvuri wake kwa lengo la kutia mbwembwe kwenye ofisi yake kwani ni muda mrefu mbwembwezz zake tumezimisi gengeni hapo nahisi kwa kukifanya hiki leo lazima tumkumbuke na kumuungisha kwa namna moja hama nyingine....
"Leo mtakuja au hamji, maana ndio nina kwenda kuufungu mwamvuli huu wenye rangi mbalimbali zenye kupinga mvua isidondoke...."
Hapo sasa mambo ndio yanakwenda kuanza sasa baada ya mwamvuli unaju ni nini kinacho fuata hapoo....??
No comments:
Post a Comment