HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 3, 2015

BEMBEA YA KIKWETU KWETU MITAA YA CHANGANYIKENI....

Kupitwa na jambo libeneke lako pindwa si kawaida yake kama kawaida ilizinasa taswirazz za watoto wa mitaa ya changanyikeni wakijiburudisha na bembea ya kikwetu kwetu bembezoni mwa nyumba yao iliyo zungukwa na ukijani kibichi upenuni hapo...picha na mtaa kwa mtaa blog.
juu chini, chini juu ndio umurua wa mchezo huu.
hapo sasa ukiona hivyo ujuwe nguvu zina wiana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad