KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, (aliyekaa), akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (kushoto), alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye wa Maonyesho ya Umma
yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam Juni 22, 2015
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, (CAG), Profesa Mussa J. Assad, (kushoto), akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (kulia), wakati alipotembelea banda la PPF kwenye Maonyesho yanayoendelea ya Wiki ya Utumishi wa Umma, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam Juni 22, 2015
Balozi Sefue, akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea banda hilo
No comments:
Post a Comment