Kamera ya mtaa kwa mtaa ilipenya moja kwa moja mpaka kwenye nyumba ya mdau mmoja machachari jina lake kapuni akiwa katika shughuli nzima ya kuakikisha mazingira yanayo mzunguka yako safi kwa kupiga msasa vibaraza kama aonekanavyo hapo juu katika taswira huku vyombo vikisubiri sop sop kutoka kwake.picha na mtaa kwa mtaa blog.
maji yakipigwa pushi na fagio la kukakusha maji.
mdau hapa akijaribu kufanya jambo baada ya kumaliza kufanya usafi wake huku akiwa ameambatanisha wingi wa nguo za ndani tatu kama zionekanavyo katika taswira.
No comments:
Post a Comment