HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 12, 2015

UNAJUA NI KWA NINI LIMEFUNIKWA HILI..

Katiza katiza ya mtaa kwa mtaa kama kawaida yake moja kwa moja ikakutana na kiwekwa taka mitaa ya changanyikeni kikiwa kimefunikwa bila kujua lengo na madhumuni ya kufunikwa kwa kiwekwa taka hicho huwenda pengine ni duka tarajiwa hili la bidhaa ndogo ndogo.Picha na mtaa kwa mtaa blog.
kinavyo onekana kiwekwa taka hicho kwa upande wa chini kikisubiri huduma kwa walengwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad