HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 7, 2015

TASWIRA MBALI MBALI ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO

Maji jamani wengine wayafuata umbali mrefu, huku yanasumbua.
Nimwendo wa kusaidiana tuu maji maji.
Usafiri nao ni  shida ndani ya maji jijini Dar es Salaam.
Bila miguu juu hapa itakuwa mwendo wa kulowa tuu.
Hii hali sasa imekuwa ngumu,huku wengine wakitengeneza mkwanja.
Majimaji Dar leo mwendo wake ni maji maji tuu.
Usafiri sasa zamu yake imefika kubebwa.

Umakini uzingatiwe kwenye mashimo.

Usafiri huu kisa kulowa.

Kazi kazi tuu ishu mshahara.


Miongozo kwa mwenyewe anayegawa kwa kila amwombaye.



Biashara majaliwa ya mwenyezi tuombe uzima.
Matengenezo ya chombo ndani ya maji.
Jangwani hali tete.
Hii hali sio Jangwani maji tele ndani ya nyumba.
Maji sio mchezo

Waogeleaji nao hawakukosa eneo la tukio Jangwani jijini Dar es Salaam.
Halowi mtuu hapa miguu ni juu.
Usafiri ni kama kazi kwetu.
Tusikose matukio na sisi licha ya maji kuwa mengi.
Jangwani ni tofauti na ufikiliavyo.
Tumeweka kambi kwa muda maji yakikauka tunarudi kwetu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad