HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 6, 2015

MUNGU HAMYIMI MJA WAKE MAARIFA

Kijana huyu anmbaye jina lake halikufahamika mara moja, ni mlemavu wa miguu lakini anauwezo wa kuendesha Baiskeli ya magurudumu mawili na kwenda sehemu zote azitakazo. Hapa akipita nje ya Stendi kuu ya Mabasi, Ubungo jijini Dar kama alivyokutwa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad