HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 29, 2015

MAMA AKITOKA HUWA TUNABADILI KITENGO....

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilimnasa binti akiwa katika maandalizi ya kutengeneza chakula cha jioni mara baada ya mama yake kutoka basi alibadili kitengo ili baba anapo fika asikute kimya na kustukia kuwa mama huwa ana toka kwenda misele.
hapa dada mtu akimpatia mdogo wake baadhi ya vipande vya nyanya kuajili ya kujimung'unya mung'unya.
upendo ukiendelea kwa dada mtu na mdogo wake nyumbani pao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad