Hapa ndipo mahala ambapo maji ya kuzwa yanapo patikana kwa vijana wachapa kazi waliopo mtaani kwetu, hata kama unahitaji kujaziwa kisima we waone tuu hawa jamaa na usiulize yanapo toka na wanayapataje maji hayo.picha na mtaa kwa mtaa blog.
vijana wakiangaza angaza wateja wao huku na kule.
No comments:
Post a Comment