Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiwakagua wachezaji wa Morning Stars kabla ya kuanza kwa mechi katika uwanja wa Shule ya Msingi Mikocheni, Dar es Salaam juzi.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiwakagua wachezaji wa Texas kabla ya kuanza kwa mechi katika uwanja wa Shule ya Msingi Mikocheni, Dar es Salaam juzi.
Askari wakisimamia ulinzi na usalama uwanjani hapo.
Mchezaji wa Timu ya Morning Star, Rama Bima akiwania mpira na beki wa Texas, Athumani Arch (kulia).
Nahodha wa timu ya Morning Star, Mwalimu Akida akiwania mpira na Beki wa Texas, Athumani Arch (kulia).
Mgeni rasmi, kuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sidiki (katikati) akifuatilia mechi hiyo na mwenyeji wake, Diwani wa Kata ya Mikocheni na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (kulia).
Msaga sumu akiburudisha na wimbo wake wa ‘Shabiki wa damu’ wakati wa mapumziko.
Washabiki wakkifuatilia mechi hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akikabidhi pikipiki ya matairi mawili maarufu ‘bodaboda’ kwa kiongozi wa timu ya Morning Star. Kulia kwake ni Diwani wa Mikocheni na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki akikabidhi Bajaj kwa Nahodha wa timu ya Texas, Kallage Mgunda baada ya timu yake kunyakua ubingwa wa fainali hizo.
No comments:
Post a Comment