
Familia ya Haule wa Kiluvya Gogoni Inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Lt. Col. Pascal Stephen Haule (mstaafu) Kilichotokea tarehe 10/4/2015 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo mazishi yatafanyika nyumbani kwa marehemu Kiluvya Gogoni siku ya jumanne 14/4/2015 Habari ziwafikie Ndugu jamaa majirani na marafiki Popote pale walipo
No comments:
Post a Comment