Meneja wa Bia ya Safari Lager, Edith Bedwa(kushoto) akitangaza majina
ya wajasiliamali wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo
pichani) watakaopewa ruzuku za Programu ya Safari Lager Wezeshwa
msimu wa nne.Kulia ni kiongozi wa wataalamu wa ushauri wa biashara
kutoka kampuni ya TAPBDS, Bwana Joseph Migunda.
Kiongozi wa wataalamu wa ushauri wa biashara kutoka kampuni ya
TAPBDS, Bwana Joseph Migunda(kushoto) akizungumza na waandishi
wa habari wakati wa kutangaza majina ya wajasiliamali waliofuzu
kupewa ruzuku za Programu ya Safari Lager Wezeshwa msimu wa nne.
No comments:
Post a Comment