ona mbinu hizo za bajaji wanazo zitumia sambamba na bodaboda.
hivi ndivyo kinavyo onekana baada ya kukipita kinundu hicho.
maderevawakiendelea kutumia mafunzo ya vyuo vyao vya udereva katika ukwepaji.
yani hapa ni mchana hali ni hivi je wageni amboo hawafika huku wakija majira ya usiku itakuaje??
mama nae aki piga hatua mbili tatu mbele ya kinundu hicho kinacho jinadi na kujitapa kwa kudumu kwa muda mrefu katika barabara hiyo. na Fadhiri Atick(Mr.Pengo) Mbeya.
No comments:
Post a Comment