
Vijana wa Yamoto Band walikonga mioyo ya mashabiki wao wa Tabata kwa kupiga show kali sana ndani ya Dar West ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu warejee kutoka jijini London,Uingereza ambako walikuwa na Ziara.

Enock Bella Mzee wa sauti Nzitto a.k.a Maromboso akifanya yake katika Ukumbi wa Dar west tabata Jana.



Mkubwa Fella akizungumza jambo na Mashabiki wa Yamoto Band Tabata.
![]() |
Kayumba ni Zao kutoka Mkubwa na Wanawe akifungua show kwa kuimba kabla ya Vijana wa Yamoto Band.
|
![]() |
Mwanadada Marope kutoka Mkubwa na wanawe akitoa Burudani katika Ukumbi wa Dar west Tabata jana.
|

![]() |
Anaitwa Adamu solooo...
|






![]() |
Raymond Tiptop akifanya yake katika Ukumbi wa Dar West Tabata jana.
|

![]() |
Dulla Yeyo Msanii kutoka Mkubwa na Wanawe akiimba Mchiriku jana Dar west Tabata.
|



![]() |
Unarambooooooo.....
PICHA ZOTE NA www.harakatizabongo.com
ANGALIA PICHA ZAIDI HARAKATI ZA BONGO
|
No comments:
Post a Comment