Wapiga picha katika eneo la Kilima cha Mawenzi,mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro wakioneshana uwezo wa kurushiana masumbwi (fani nyingine ukiachana na ile waifanyayo siku zote) hata hivyo chanzo cha ugomvi huo hakikuweza kufahamika mara moja.
Video na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment